Leteipa the King

Waridi

Leteipa the King

Teipas tales


(Unanikomesha) Uhh
(Unanikomesha)
(Unanikomesha) Ni vampk
(Unanikomesha) 254 (Big Daddy)
(Unanikomesha) lalalala laa

Ukidunga kamini
Gunia Gauni ama Dera
Bado we ni mashini Yeiyeeh
Sijui nikwanini
Nikikuona nahisi nginyera
inakata maini
Wanashangaa ati Niko Boring
na hauendagi kwao
Wanasambaza nyori
na hatukulagi kwao
Bila chapaa hatuna ngori
fiti zaidi yao
Hata tukiwa na njaa tunala story
finger pande yao

Nitunze Kama mshumaa
ama koroboi
Ndo nisipoe
unipende Mimi... Mhh
Kuna wengi shujaa
wenye pesa na Mali doii
Wasikutoe
unitende Mimi

Wasikuvizie
unikimbie mpenzi (Waridi)
Na huu unyonge wangu
si nitanyong'onyea (Waridi)
Nivumilie
nikuhudumie, babe (Waridi)
Hata ng'ombe
za Nyanyangu ntakupea eeh (Unanikomesha)
Nyumba magari
havishindi thamani yako
(Unanikomesha)
Ntapeana vyote
niwe nawe mababe boo
(Unanikomesha)
Sukari asali
havishindi utamu wako
(Unanikomesha)
Naeza kula
sembe kavu
nikikutazama tuu
(Unanikomesha)
(Unanikomesha)

Kuja ghetoni tupike
Ukaange nikionja
Hadi kwa sufuria kaive, iyeeih
Kisha stima tuzime
Tukule mziki kwa nguvu
mpaka majirani wakujee, iyeeh
Ulivyojaah
Nika unakulaga ijumaa
Ukinishika moyo unashikwa
na kaswende nazubaa
Unanifaa
yaani mi ndo Giza we ndo taa Ninavyokupenda
nikama nimekuzaa eeh

Nitunze Kama mshumaa
ama koroboi Ndo nisipoe
unipende Mimi, Mhh
Kuna wengi shujaa
wenye pesa na Mali doi
Wasikutoe
unitende Mimi

Wasikuvizie
unikimbie mpenzi (Waridi)
Na huu unyonge wangu
si nitanyong'onyea (Waridi)
Nivumilie
nikuhudumie, babe (Waridi)
Hata ng'ombe za Nyanyangu
ntakupea eeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari
havishindi thamani yako
(Unanikomesha)
Ntapeana vyote
niwe nawe mababe boo
(Unanikomesha)
Sukari asali
havishindi utamu wako
(Unanikomesha)
Naeza kula sembe kavu
nikikutazama tuu
(Unanikomesha)

(Unanikomesha)

Letra enviada por

Encontrou algum erro na letra? Por favor, envie uma correção >

Compartilhe
esta música

Ouça estações relacionadas a Leteipa the King no Vagalume.FM

ESTAÇÕES