Leteipa the King

Tenga

Leteipa the King

Teipas tales



Bibli Bam Bam Bam Bam

Nilipokwona Jana
ukipita umevutia
Nilibaki nimeduwaa
Umbo lako mamii
Linanipa kiungulia
Ungewa nguo ningekuvaa
Nyuma una bonge la ndoo
mum shikamo
Napenda kucheki ukinyonga hiyo
Ukitembea chwani chwani Masoo
I need to know
Umetosheaje kwenye toja hiyo

Sura shepu na tabia
na nutritious ka Dania
Na ingewa sufuria
Ningekuwa mwiko
Ulivyoshona jumuia
Kitoweo kwa sinia
Ukinipa ntabugia
Kama komba mwiko

(Tenga)
Wamlabez wamnyonyez
Wine Kama Sio yako umepewa
(Tenga)
Wine pande. Wine shiothee
Ka unahepa msako umelewa
(Tenga)
Usiwe na aibu
tingisha wapate kitu ya kupost Fb
(Tenga)
Sahau masaibu
Zikishika tufike gheto nikupe Kihb
(Tenga)
(Tenga)

Unavyosakata dansi
Mwili mpaka nafsi
Zinakufa ganzi
Kama nyasinyasi
Zanigwara Hadi nafurahi, Ooh nafurahi
Urefu wangu was farasi
Nitakupa banzi
Tamu ka nanasi
Moto Kama basi
Ndefu Kama ngazi ukidai, ooh ujidai
Uko hot ka solar
Strong ka mollar
Soft ka rollar, yaani conc ka collar
Calm ka baller
Expe ka dollar
Sick is Ebola
Wanakupenda ka Ocholla

Sura shepu na tabia
na nutritious ka Dania
Na ingewa sufuria
Ningekuwa mwiko
Ulivyoshona jumuia
Kitoweo kwa sinia
Ukinipa ntabugia
Kama komba mwiko

(Tenga)
Wamlabez wamnyonyez
Wine Kama Sio yako umepewa
(Tenga)
Wine pande. Wine shiothee
Ka unahepa msako umelewa
(Tenga)
Usiwe na aibu
tingisha wapate kitu ya kupost Fb
(Tenga)
Sahau masaibu
zikishika tufike gheto nikupe Kihb
(Tenga)

Letra enviada por

Encontrou algum erro na letra? Por favor, envie uma correção >

Compartilhe
esta música

Ouça estações relacionadas a Leteipa the King no Vagalume.FM

ESTAÇÕES