Umeketi kwa corner, Ukifikiria Vile maisha ya mapenzi, yamekukalia Any shoe that you admire inawa ndogo kwako dear Mpaka sasa umeamua, peku kutembea Umesahau kiatu chako Kipo Kimetengezwa tu kwa ajili yako
Ukiwa kwenye shiida Unajililia Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie Ntaketi kando yako, Mpaka utulie Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie
Labda ulipenda, hao wengine wakakuonyesha kilio Yule mwingine wa mwisho akakuuma sikio They used you na sasa wanakuita kifagio But nipende mimi Nipende mimi
You think that you are lonely Coz no one is close to you And even those that are closer they never bother to fight for you Umeapa kamwe, hutawahi penda Juu wanaume wote ni mafisi mwishoni watakutenda Give me a chance to prove your statement is wrong Naapa kwa wote wanaoskiza this song
Labda ulipenda hao wengine wakakuonyesha kilio kilio kiliioo
Ukiwa kwenye shiida Unajililia Ntakupa kitambaa, Ujipanguzie Ntaketi kando yako, Mpaka utulie Kisha nikuimbie, Mpaka usinzie